#Business

SARAFU

Na katika ubadilishanaji fedha dola moja ya Marekani kwa sasa inanunuliwa kwa shilingi 128.50 na kuuzwa kwa shilingi 133.50 huku Euro moja ikinunuliwa kwa shilingi 138.75 na kuuzwa kwa shilingi 149.14

Shilingi moja ya Kenya dhidi ya Uganda inanunuliwa kwa shilingi 29.41 na kuuzwa kwa shilingi 27.03 huku shilingi moja ya kenya dhidi ya Tanzania inanunuliwa kwa shilingi 21.38 na kuuzwa kwa shilingi 19.63

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *