#Local News

HOFU YA UTEKAJI NYARA WEST POKOT

Hofu imetanda katika kaunti ya West Pokot baada ya wakazi kuibua madai kwamba kuna watu wanaolenga kuwateka nyara watoto eneo hilo kwa kutumia magari yasiyo na nambari za usajili na pikipiki.

Wakiongozwa na mwakilishi wa wadi ya Kapenguria Richard Mastaluk, wakazi wamesema kuwa washukiwa wamekuwa wakiwalenga watoto majira ya asubuhi.

Haya yanajiri wiki moja baada ya watu 16 kukamatwa eneo hilo wakihusishwa na utekaji nyara na ulangiuzi wa sehemu za mwili wa binadamu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HOFU YA UTEKAJI NYARA WEST POKOT

RIPOTI YAFICHUA SHULE HEWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *