SHULE ZOTE ZIFUNGWE MARA MOJA; WIZARA YA ELIMU YASEMA
Shule zote zifungwe kwanzia leo kwa likizo fupi, haya ni kwa mujibu wa wizara ya elimu ambayo imesema kuwa hatua hiyo imetokana na maandamano ambayo yamepangwa kufanyika hapo kesho na kundi la vijana Gen-Z kupinga mswada wa fedha 2024.
Imetayarishwa na Janice Marete.
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































