RUTO KUZURU KISII, NYAMIRA
Rais William Ruto anaanza rasmi ziara yake ya siku 3 hii leo katika kaunti za Kisii na Nyamira ambako anatarajiwa kuzindua na kukagua miradi kadhaa ya maendeleo.
Ruto ameratibibiwa kuzuru maeneo bunge ya North Mugirango, Kitutu Masaba na Nyaribare Chache.
Hata hivyo, ziara yake inajiri huku wakazi wakiwa na matarajio ya kukamilishwa kwa miradi iliyokwama.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































