#Local News

MWAKILISHI WA WADI KALIMONI AVAMIWA

Mwakilishi Wadi wa Kalimoni Katika kaunti ya Kiambu Godfrey Mucheke anauguza majeraha baada ya kuvamiwa na Muhuni baada ya kukamilisha shughuli ya utoaji pesa za karo.

Viongozi waliondamana na Mucheke wamesema kuwa muhuni aliyefanya kitendo hicho ametambuliwa na kisa hicho kuripotiwa katika kituo cha polisi.

Viongozi hao wamekashifu kitendo hicho huku wakisema kuwa wanahofia maisha yao.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MWAKILISHI WA WADI KALIMONI AVAMIWA

UPINZANI WASHUTUMU VITISHO VYA KISIASA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *