#Local News

MNARA WA BABELI ODM

Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna na gavana wa Siaya James Orengo wamependekeza mkabata wa maelewano kati ya chama hicho na UDA kuangaziwa upya, wakisisitiza kuwa ODM itamwidhinisha mgombeaji wake katika uchaguzi mkuu ujao.

Viongozi hao walikuwa wakizungumza katika hafla ya mazishi ya aliyekuwa kinara wa chama hicho Raila Odinga, msimamo wao ukitofautiana na viongozi wenza wa ODM.

Miongoni mwa viongozi hao ni magavana Abdulsmwamad Nassir wa Mombasa na Gladys Wanga wa Homa Bay.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MNARA WA BABELI ODM

RUTO AWEKA WAZI AFYA YA ODINGA KABLA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *