#Local News

RUTO AWAHAKIKISHIA WAVUVI USALAMA

Wavuvi nchini wamehakikishiwa usalama wa kutosha wanapoendeleza shughuli zao, Rais William Ruto akiahidi kuongeza idadi ya maafisa wa usalama kwenye Ziwa Victoria ili kuwalinda dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara.

Ameyasema haya jijini Kisumu, akisema serikali imesaka soko la kimataifa la Samaki ili kuongeza mapato kwenye sekta hiyo

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AWAHAKIKISHIA WAVUVI USALAMA

HOFU YA MAFURIKO BUDALANG’I

RUTO AWAHAKIKISHIA WAVUVI USALAMA

MSASA WA IEBC KUFANYIKA JUMAMOSI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *