‘TUTAPINGA MSWADA WA BAJETI’ AZIMIO YASEMA

Viongozi wa upinzani wameendelea kukashifu mswada wa fedha wa 2024-25 wakisema mapendekezo katika mswada huo yanaonyesha kwamba serikali haijali maslahi ya wakenya.
Wakiongozwa na mwakilishi wa kike kaunti ya kisii Doris Ndonya Aburi viongozi hao wameapa kuangusha msdwada huo wakishikiilia kwamba kodi ya mkate na bidhaa nyingine muhimu yatapandisha gharama ya Maisha.
Imetayarishwa na Janice Marete.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































