#Local News

ZIARA YA KUREJESHA USALAMA PWANI

Katika juhudi za kurejesha utulivu katika eneo la Pwani kufuatia misururu ya visa vya uvamizi wa vijana wanaojiita Panga Boys, waziri wa usalama Kipchumba Murkomen na wakuu wa usalama wanazuru kaunti 6 za powani ili kutathmimini mbinu za kuondoa magenge hayo.

Waziri huyo amefanya kikao na maafisa wa usalama jijini Mombasa, akisema ziara hiyo inalenga kuangazia masuala kadhaa ikiwemo maslahi ya walinda usalama na utumizi wa mihadarati.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ZIARA YA KUREJESHA USALAMA PWANI

SAKATA YA MALARIA YAMWANDAMA TUM

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *