#Local News

FUATENI KANUNU ZA USIMAMIZI KENYA INSTITUTE OF SUPPLIES MANAGEMENT YASEMA

Taasisi ya kitaifa ya usimamizi na usambazaji KENYA INSTITUTE OF SUPPLIES MANAGEMENT imetoa wito kwa mashirika yote ya umma kuhakikisha kwamba yanafuata kanuni za usimamishi wa wahudumu wa shughuli za usambazaji

Afisa mkuu mtendaji wa taasisi hiyo Kenneth Matiba amewasihi wakuu wa taasisi hizo kuhakikisha kwamba watalaam wote wa usimamizi na usambazaji wanasajiliwa na kupewa leseni ya kuhudumu ili kuwezesha kazi kufanyika kwa mujibu wa sheria

Kwa upande wake mwakilishi wa kike kaunti ya Busia Catherine Omanyo  ameilaumu serikali kwa kuchangia kupanda kwa gharama ya Maisha kupitia kuongezwa kwa kodi katika bidhaa mbali mbali na ambazo ni muhimu kwa wananchi

FUATENI KANUNU ZA USIMAMIZI KENYA INSTITUTE OF SUPPLIES MANAGEMENT YASEMA

MKATABA WA MBAPPE NA REAL MADRID

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *