#Local News

UPIGAJI KURA MAENEO 22 WAANZA

Zoezi la upigaji kura katika maeneo 22 yanayoshiriki chaguzi ndogo limeanza rasmi hii leo, vituo vya kupigia kura vikifunguliwa saa 6am alfajiri na vitafungwa saa 5pm kwa mujibu wa sheria za uchaguzi.

Miongoni mwa maeneo hayo ni kaunti ya Baringo, maeneo bunge ya Malava, Ugunja, Kasipul, Mbeere North na Magarini, tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC ikiwahimiza wapiga kura maeneo hayo kujitokeza kwa wingi.

Baadhi ya wapiga kura katika eneo la Magarini wameripoti zoezi kuwa shwari.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UPIGAJI KURA MAENEO 22 WAANZA

IEBC: HAKUNA WAPIGA KURA WAPYA

UPIGAJI KURA MAENEO 22 WAANZA

MLINZI WA LIVONDO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *