#Football #Sports

MANCHESTA UNITED WAMSAJILI MANUEL UGARTE

Machesta united wana makubaliano na PSG kwa ajili ya kumsajili kiungo Mannuel Orgate, man u watalipa pauni milioni 42.2 lakini dili hilo linaweza kuwa na thamani ya pauni milioni 50.7 ikijumuisha nyongeza zinazohusiana na utendakazi wake.

Orgate ambaye alikuwa analengwa na klabu kwa safu ya kiungo katika kipindi chote cha dirisha ndogo yuko nchin I uingereza kabla ya matibabu yake na masharti yake ya kibinafsi.

Raia huyo wa Uruguay atajiunga na united mwaka mmoja tu baada ya PSG kuwalipa spotin g Lizbon zaidi ya pauni milioni 51 kumnunua mchezaji huyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

MANCHESTA UNITED WAMSAJILI MANUEL UGARTE

BULLETS WAJARIBU KUTOA USHINDI DHIDI YA BENKI

MANCHESTA UNITED WAMSAJILI MANUEL UGARTE

MVULANA WA MIKA 17 ATUMBUKIA MTO KIMININI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *