#Local News

MRENGO WA JUBILEE UMEUNGA MKONO WITO WA MAZUNGUMZO YA KITAIFA

Mkanganyiko umeibuka katika chama tawala cha zamani cha Jubilee baada ya baadhi ya wanachama wake kuunga mkono wito wa Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga kufanya mazungumzo kusuluhisha mzozo ambao taifa linakabili.

Chama cha Jubilee kupitia Katibu mkuu wake Jeremiah Kioni kimepinga vikali mazungumzo yoyote na serikali ya Ruto, uamuzi anaodai una baraka za aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta ambaye angali kinara wa chama hicho.

Kaimu Naibu Mwenyekiti wa Taifa na Katibu wa kundi la wabunge wa chama hicho Adan Keynan, hata hivyo, katika taarifa yake amekaribisha maelewano kati ya chama tawala na upinzani.

Keynan amesema wanaunga mkono kubuniwa kwa serikali shirikishi kama

Imetyarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *