“MNADANGANYWA!”- MUTURI AMSUTA RUTO

Kutimuliwa kwangu kutoka baraza la mawaziri kulitokana na msimamo wangu kuhusu visa vya utekaji nyara na mauaji ya kiholela nchini na wala si kushindwa na majukumu jinsi mnavyoambiwa.
Ndiyo kauli ya aliyekuwa waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi, akizungumza na wanahabari siku moja baada ya kuondoka rasmi afisini, akiendelea kukosoa visa hivyo.
Muturi amemtaka Rais William Ruto kuwajibikia uhalifu huo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa