#Local News

WASHUKIWA WAWILI WA WIZI WA MTOTO WAKAMATWA TRANSNZOIA

Washukiwa Wawili Wa Wizi Wa Mtoto wa miezi tisa wamekamatwa na maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai DCI katika kaunti ya Transnzoia.

Kwa mujibu wa mkuu wa DCI tawi la transnzolia Paul Sangok mtoto huyo aliibiwa kutoka kijiji cha kamaura Koresoi kaunti ya Nakuru na kwamba alikuwa akipelekwa taifa jiani la Uganda.

Idara ya upelelezi imeanzisha uchunguzi kubain iwapo kuna mtandao wa wizi wa watoto na utekaji nyara katika kaunti ya Transnzoia na eneo lote la kaskazini mwa bonde la ufa.

Imetayarishwa na Janice Marete

WASHUKIWA WAWILI WA WIZI WA MTOTO WAKAMATWA TRANSNZOIA

WAFULA: RUTO ANAJUA HATIMA YA GACHAGUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *