#Sports

COMPEL FC WAPANDISHWA DARAJA

Ndoto ya Compel FC ya kupandishwa daraja kutoka Ligi ya Daraja la Kwanza hadi Ligi Kuu ya Soka ya Kenya (NSL) hatimaye imetimia, baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bumbani katika mechi ya mchujo iliyochezwa wikendi katika uwanja wa Thika.

Akizungumzia mafanikio yao ya ajabu, kocha mkuu wa Compel, George Mutimba alisema kuwa licha ya kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Bumbani, vijana wake walionyesha hasira na hatimaye kutimiza ndoto zao. Badala yake, anapania kuimarisha kikosi hicho kwa kusajili wachezaji wapya ili kuimarisha uchezaji wa timu hiyo katika msimu ujao.Kikosi cha vijana cha Compel kutoka Webuye, Kaunti ya Bungoma, kilimaliza katika nafasi ya pili katika Ligi ya Daraja la Kwanza, Zoni B, hivyo kukatiza ndoto za Bumbani kutoka Kaunti ya Kwale, ambao pia walikuwa wamemaliza wa pili katika Zoni a

Imetayarishwa na Nelson Andati

COMPEL FC WAPANDISHWA DARAJA

KOCHA WA FORTUNE SACCO AAGA DUNIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *