#Local News

HAKUNA MPANGO NA ADANI HOLDINGS, MUDAVADI ANASEMA KUHUSU SAKATA YA JKIA

Waziri Mkuu Musalia Mudavadi sasa anasema kuwa serikali haijatia saini makubaliano yoyote na Kampuni ya Adani Airports Holdings Limited kuhusu kuboresha miundombinu ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA).

Katika ufafanuzi kuhusu Pendekezo la Kibinafsi (PIP) la kundi hilo, Mudavadi amesema pendekezo la Adani Holdings kwa sasa linashughulikiwa vyema ikiwa ni pamoja na mapitio na mazungumzo.

Ameongeza kuwa hilo ni kwa kuzingatia Sheria ya PPP kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi.

Mudavadi amesisitiza kuwa maslahi ya nchi yatapewa kipaumbele katika mkataba huo.

Imetayarishwa na Janice Marete

HAKUNA MPANGO NA ADANI HOLDINGS, MUDAVADI ANASEMA KUHUSU SAKATA YA JKIA

MASENGELI ASHIKA USUKANI

HAKUNA MPANGO NA ADANI HOLDINGS, MUDAVADI ANASEMA KUHUSU SAKATA YA JKIA

KAUNTI YA BARINGO CHINI YA UCHUNGUZI WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *