MSHUKIWA KOROKORONI, WAKAZI WALALAMIKIA UNAJISI BUSIA
Mshukiwa mmoja wa unajisi raia wa Uganda anatarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo baada ya kukamatwa na polisi kwa madai ya kunajisi moto mchanga mwenye umri wa miaka 3 katika eneo la Butula kaunti ya Busia.
Kulingana na OCPD wa eneo hilo Hellen Rotich, mshukiwa amekuwa akifanya kazi katika boma moja kama mfanyakazi wa nyumbani.
Haya yanajiri huku wakazi wakilalamikia ongezeko la visa vya unajisi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































