SIKU YA CLUB FOOT DUNIANI
Washikadau katika sekta ya afya wametakiwa kuhakikisha kwamba watoto wanaougua ugonjwa wa kiguu yaani Klub Foot wanapata tiba ya mapema kenya imeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya klub foot duniani hii leo Akihutubu katika hafla ya maadhimisho hayo kaunti ya homabay mshirikishi wa matibabu ya ugonjwa huo amesema ni vyema wazazi kutafuta tiba mapema.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































