FAMILIA 32 KIMENDE ZAHAMISHWA KUFUATIA MAPOROMOKO

Familia 32 katika eneo la Matathia kaunti ya Kiambu zimehamishiwa maeneo salama kutokana na mikasa miwili ya maporomoko ya ardhi iliyotokea na kuwafunika watu kadhaa.
Gavana wa kaunti hiyo kimani wamatangi amewataka wakazi kutokaribia maeneo yaliyoathirika, akisema hatua ya kuzihamisha familia hizo inalenga kuepusha majanga zaidi.
Ameyasema haya alipokuwa akitoa chakula cha msaada kwa waathiriwa.
Imetayarishwa na: Antony Nyongesa
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































