#Local News

MACHIFU NA MANAIBU WAO KUTUMIA PIKIPIKI ZINAZOTUMIA NGUVU ZA UMEME

Dereva wa mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya yuko katika hali mahututi  baada ya kuhusika katika ajali ya barabara eneo la Roka barabara kuu ya Kilifi Malindi.

Omar Keah mwenye umri wa miaka 38, alikuwa akiendesha gari kumchukua mbunge huyo katika uwanja wa ndege wa Malindi ajali hiyo ilipotokea mwendo.

akithibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi wa Kaunti Ndogo ya Kilifi Kaskazini Kenneth Maina amesema dereva wa mbunge huyo amegongana na lori lililokuwa likielekea upande huo huo na kusababisha.

Imetayarishwa na Janice Marete

MACHIFU NA MANAIBU WAO KUTUMIA PIKIPIKI ZINAZOTUMIA NGUVU ZA UMEME

SENETI KUJADILI MSWADA WA FEDHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *