#Local News

GACHAGUA AZUNGUMZIA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

Naibu Rais Rigathi Gachagua amepongeza hatua ya rais William Ruto kuwajumuisha viongozi wa upinzani kwenye baraza jipya la mawaziri, akisema hatua hiyo ni ushindi kwa wakenya wote na wala hakuna aliyepoteza.

Akizungumza katika hafla ya mazishi katika kaunti ya Nyandarua, Gachagua amesema eneo la Mlima Kenya limefurahia uteuzi huo kwani uteuzi wa Mercy Wanjau kuwa katibu wa baraza la mawaziri unaongeza idadi ya teuzi kutoka eneo hilo.

Kulingana na Gachagua, Wanjau, sawa na ilivyo kwa mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi, hakutimuliwa wakati wa kuvunja baraza la mawaziri.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA AZUNGUMZIA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

KESI MAHAKAMANI KUPINGA UTEUZI WA VIGOGO WA

GACHAGUA AZUNGUMZIA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

BONIFACE MWANGI, WENZAKE WAPEWA DHAMANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *