MVULANA WA MIKA 17 ATUMBUKIA MTO KIMININI

Wakaazi wa eneo la Birunda kaunti ya Transnzoia wanaendelea kuusaka mwili wa mvulana wa miaka 17 aliyetumbukia katika mto Kiminini.
Wakaazi hao wametoa wito kwa shirika la msalaba mwekundu kushirikiana na serikali ya kaunti na kuwatuma wapiga mbiziwenye uzoefu ili kuharakisha shughuli hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete