#uncategorized

KNUT, KUPPET KULEMAZA MASOMO

Muungano wa kutetea maslahi ya wlaimu KNUT, umetoa makataa ya siku 7 kwa serikali kutekeleza matakwa ya walimu la sivyo wagome.

Kupitia taarifa, KNUT imetishia kuwaongoza walimu kwenye mgomo huo kuanzia tarehe 26 mwezi huu iwapo serikali haitatekeleza mkataba wa makubaliano.

Aidha, wanalalamikia kutopandishwa vyeo kwa walimu zaidi ya elfu 130, tishio lao likijiri siku moja baada ya katibu mkuu wa KUPPET Akello Misori kutishia mgomo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KNUT, KUPPET KULEMAZA MASOMO

RUTO AAHIDI POSHO LA WASANII

KNUT, KUPPET KULEMAZA MASOMO

VYUO VIKUU VYATOA MWONGOZO MPYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *