WAHUDUMU WA TUK TUK KAKAMEGA WAFUNGA NJIA
Makabiliano makali yameshuhudiwa katika mji wa Kakamega maafisa wa polisi wakikumbwa na wakati mgumu kuwakabili waendeshaji wa TukTuk waliokuwa wamefunga barabara za kuingia mjini humo wakilalamikia hatua ya afisa wa polisi aliyempiga risasi mteja akiwa ndani ya tuk tuk jana alhamisi akimwaangaisha dereva hujyo kwa kuitisha hongo.
Kwa mujikbu wa wahudum u hao afisa huyo alisimamisha tuk tuk hiyo akitaka kumtia mbaroni dereva na walipokosa kuelewanwa akampiga risasi kimakosa abiria aliyekuwa ndani ya tuktuk hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































