MGOMO WA WAUGUZI KUWAKUMBA WAGONJWA
Wagonjwa wanaotegemea huduma za wauguzi huenda wakaathirika kuanzia Aprili Mosi mwaka huu kutokana na mgomo wa wauguzi.
Muungano wa wauguzi, ukiongozwa na mwenyekiti Seth Panyako, umesema kuwa mgomo huo unatokana na mikataba duni ya ajira inayowaathiri wauguzi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































