#Local News

USAJILI WA MAKURUTU WA POLISI KUANZA

Zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na vitengo mbali mbali vya polisi inatarajiwa kuanza muda wowote baada ya mwafaka kupatikana kufuatia mazungumzo kati ya bunge, idara ya polisi NPS na tume ya huduma kwa polisi NPSC.

Akizungumza baada ya mkutano wa faragha, mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji wa katiba bungeni Caroli Omondi, amesema wana ufahamu kuhusu usajili wa makurutu kupitia njia ya kidijitali, ila inazuiwa na ukosefu wa mwongozo wa kisheria.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

USAJILI WA MAKURUTU WA POLISI KUANZA

MGOMO WA WAHADHIRI WAANZA

USAJILI WA MAKURUTU WA POLISI KUANZA

FAHARI YA KENYA JAPAN, ULIMWENGUNI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *