KENYA PIPELINE YAICHAPA KCB 3-1 KATIKA KENYA CUP

Kenya Pipeline iliichapa KCB seti 3-1 (27-28, 25-17, 25-17, 25-22) katika mechi ya uzinduzi wa Kenya Cup, katika uwanja wa Kasarani.
Licha ya KCB kushinda seti ya kwanza 28-27, Pipeline ilirejea kwa nguvu na kushinda seti tatu mfululizo, ikihitimisha ushindi wake kwa 25-22 katika seti ya mwisho.
Kocha Geoffrey Owino aliisifu timu yake kwa kurejea mchezoni, huku KCB ikiahidi kujipanga kwa mechi zijazo.
Imetayarishwa na Janice Marete