WABUNGE WASIMAMA NA NG-CDF
Hazina ya kustawisha maeneo bunge NG-CDF haitaondolewa kutokana na mchango wake hasa kwa masomo ya watoto wanaotoka familia zisizojiweza.
Haya ni kwa mujibu wa wabunge wakiongozwa na spika Moses Wetang’ula, wakizungumza kwenye warsha ya bunge hilo inayoendelea katika kaunti ya Mombasa.
Wameapa kuitetea hazina hiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































