KEN LUSAKA ATISHIA KUWAFUTA MAAFISA WAZEMBE

Gavana wa kaunti ya Bungoma Ken Lusaka amewataka maafisa wote wa serikali ya kaunti yake kushirikiana ili kufanikisha miradi ya maendeleo.
Kulingana na gavana Lusaka malumbano baina ya mawaziri na maafisa wakuu katika wizara mbali mbali yamesababisha wananchi kukosa huduma muhimu huku akitishia kuwafuta kazi maafisa na mawaziri watakaozembea kazini.
Imetyarishwa na Janice Marete