HAKUNA KUPUNGUZA FEDHA ZA MAJANGA

Huku serikali ikishindwa kuwezesha baadhi ya familia zilizoadhiriwa na mafuriko kurejelea Maisha ya kawaida , mkaguzi wa hesabu za serikali Nancy Gathungu anakosoa mapendekezo ya serikali kupunguza bajeti ya kushughulikia majanga.
Akizungumza mbele ya kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa hapo jana Gathungu amesema mpango wa kupunguza bajeti hiyo kwa zaidi ya shilingi bilioni 3 utatatiza mikakati ya serikali kukabili adhari za majanga kama vile mafuriko na ukame.
Imetayarishwa na: Janice Marete
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































