WANAFUNZI 14 MIONGONI MWA WAATHIRIWA MARAKWET
Wanafunzi 14 ni miongoni mwa watu 26 waliothibitishwa kufariki katika maporomoko ya ardhi katike eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Haya yanajiri huku shughuli za uokoaji zikiendelea huku zaidi ya watu 20 wakiwa hawajulikanani waliko kufuatia maporomoko hayo yaliathiri vijiji kadhaa mapema Jumamosi kutokana na mvua kubwa.
Katibu mkuu katika wizara ya elimu Julius Bitok, amesema mikakati imewekwa kuwasaidia watahiniwa wa KCSE walioathirika kufanya mtihani wao.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































