WACHANA NA WANAFUNZI

Shule zikitarajiwa kufunguliwa jumatatu wiki ijayo Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amewaagiza walimu wakuu katika kaunti ya transnzoia kuwasilisha orodha ya majina ya walimu wakuu ambao wameongeza karo ya shule kinyume na muongozo wa wizara ya elimu ili waadhibiwe.
Vile vile machogu amewaagiza walimu wakuu kutowatuma nyumbani wanafunzi kwa kukosa sare rasmi za shule na karo.