#uncategorized

WAKENYA WATAKIWA KUCHUKUA PASPOTI JUMAMOSI

Idara ya uhamiaji imewataka wakenya waliotuma maombi ya paspoti jijini Nairobi na walmepokea jumbe za kuwataka kuchukua paspoti hizo kufanya hivyo katika jumba la Nyayo House jijini Nairobi hapo kesho.

Taarifa ya idara hiyo inajiri kufuatia changamoto ambazo zimezingira utoaji wa paspoti kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Kwa sasa, kuna afisi nane pekee za uhamisho kote nchini, hatua inayowalazimu wakenya kusafiri kwa mwendo mrefu kusaka stakabadhi hizo

Imetayarishwa na: Antony Nyongesa

ANC YAPINGA TAARIFA ZA KUVUNJWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *