#Local News

TETESI ZA EGP

Viongozi mbali mbali wameendelea kuchukua msimamo kinzani kuhusu mfumo wa ununuzi wa vifaa vya serikali kupitia mfumo wa kielekroniki eGP uliopendekezwa na serikali kwa lengo la kilichotajwa kama kukabili ufisadi.

Kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini, seneta wa Bomet Hilary Sigei ameutetea mfumo huo, anaosema utahakikisha usawa katika utoaji wa tenda katika serikali kuu na zile za kaunti.

Hata hivyo, mbunge wa Tetu Geoffrey Wandeto, ameutaja mfumo huo kuwa unaokiuka katiba.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TETESI ZA EGP

IDARA YA UTABIRI YATANGAZA WIKI YA MVUA

TETESI ZA EGP

FAIDA ZA EGP ZAWEKWA WAZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *