WACHENI KUWAUA WATOTO WETU; WAVINYA NDETI
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amewaonya wahuni wanajifanya kuwa waandamanaji wa gen-z kwa lengo la kutekeleza mauajai na uhalifu.
Ndeti amesikitishwa na wahuni hao ambao wamekuwa wakiwaangaisgha watu mitaani
Imetyarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































