#Local News

HATMA YA HAZINA ZA NG-CDF, NGAF SENETI

Wakenya sasa wameelekeza macho yao kwa bunge la seneti kuhusu uidhinishwaji wa mswada unaolenga kuzijumuisha kwenye katiba hazina 3 katika katiba kwa lengo la kuzilinda hazina hizo na kukuza maendeleo katika maeneo ya mashinani, baada ya wabunge kuupitisha mswada huo hapo jana.

Hazina hizo ni NG-CDF, hazina ya uangalizi wa maseneta na hazina ya kitaifa inayosimamia shughuli za serikali NGAF, zilizopitishwa katika kikao cha jana bungeni.

Wabunge wameshikilia kuwa hazina hizo zitaimarisha usawa mbali na kuboresha viwango vya elimu.

Imetayarishwa na Tonny Nyongesa

HATMA YA HAZINA ZA NG-CDF, NGAF SENETI

UPINZANI WAMTAKA MURKOMEN NJE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *