#Business

MAKATO YA SHIF NA USHURU WA NYUMBA KWA FIDIA YA KUSITISHWA KWA KAZI SIO HAKI – MAHAKAMA

Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi imetoa maamuzi kwamba kukatwa kwa Ushuru wa Nyumba na michango ya SHIF kutoka kwa fidia inayotolewa kwa kusimamishwa kazi kwa njia isiyo ya haki ni sawa na utendaji usio wa haki wa kazi.

Hata hivyo, mahakama imethibitisha kwamba PAYE bado inatumika kwa manufaa kufuatia ripoti hiyo.Mahakama hiyo imefanya uamuzi huo katika mgogoro kati ya kampiuni moja na mfanyikazi wake wa zamani pale ambapo mfanyikazi huyo ilifidiwa shilingi miliono 2.8 kwa kusimamaishwa kazi kwa njia isiyofaa.

Hata hivyo, mwajiri wake wa zamani alikata takriban Ksh1 milioni zinazogharamia PAYE, NSSF, SHIF, na Ushuru wa Nyumba kabla ya kulipa salio, na kusababisha mwamko mpya wa sheria.

Imetayarishwa na Maurine Amwayi

MAKATO YA SHIF NA USHURU WA NYUMBA KWA FIDIA YA KUSITISHWA KWA KAZI SIO HAKI – MAHAKAMA

WALIMU WA JSS KUPATA AJIRA MWAKA UJAO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *