#Local News

MOSHI MWEUPE VYUONI

Huenda masomo katika vyuo vikuu vya umma nchini yakarejelewa muda wowote kuanzia sasa baada ya wahadhiri kuonekana kuelegeza msimamo wao kuhusu mazungumzo na serikali kumaliza mgomo ambao umeingia siku ya 45.

Mazungumzo haya yamerejelewa huku wahadhiri wakisema serikali imelegeza msimamo wake kuhusu kulipa malimbikizi ya mishahara yao, hatua ambayo huenda ikaleta mwafaka wa kurejea kazini.

Viongozi wa miungano ya wahadhiri wanasema watashauriana na wanachama wao kuhusu pendekezo la serikali kulipa kwa awamu 2 badala ya awamu 3.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MOSHI MWEUPE VYUONI

SADC, EAC ZATAKIWA TANZANIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *