GACHAGUA AONYA DHIDI YA ‘USALITI’ MLIMANI
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amewahimiza viongozi na wakazi wa eneo la Mlima Kenya kudumisha mshikamano ili kufanikisha maendeleo.
Gachagua ameonya kuwa huenda migawanyiko ya kisiasa ikasababisha kusambaratika kwa eneo hilo iwapo viongozi watakubali kutumiwa kisiasa kuendeleza migawanyiko hiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































