#Local News

SHA YA POLE POLE

Sekta mbali mbali ikiwemo ile ya nyumba za bei nafuu na bima ya afya SHA zinatarajiwa kufanyiwa marekebisho, iwapo bunge litaidhinisha mapendekezo ya Rais William Ruto kufanya mageuzi hayo ikiwemo kuwazesha wakenya kulipia huduma za SHA kwa malipo ya pole pole.

Kulingana na Rais akizungumza alipoongoza taifa kwenye maadhimisho ya sherehe za Madaraka, wakenya pia watapata fursa ya kuchukua mikopo ya nyumba na kwa kiwango cha chini cha riba ili kuwasaidia wakenya kumiliki nyumba za bei nafuu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *