#Local News

SENETA MAANZO; WABUNGE WALIKOSA KUPEWA PESA NA GACHAGUA WAKAAMUA KUMBANDUA MAMLAKANI

Seneta wa Makueni Dan Maanzo amepuuzilia mbali ombi linaloendelea la kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua kama akisema k,uwa ni “mzaha mkubwa,” akilinganisha na haki ya kundi la watu kwa kile anachodai ni kushindwa kwa DP kutoa takrima kwa Wabunge.

Maanzo ameibua madai wabunge wanaounga mkono kuondolewa kwa Gachagua walitarajia kuwapa pesa kutoka kwa mgao wake wa matumizi ya siri na baada ya Gachagua kukosa kutimiza hilo wakaamua kumtimua.

Imetayarishwa na Janice Marete

SENETA MAANZO; WABUNGE WALIKOSA KUPEWA PESA NA GACHAGUA WAKAAMUA KUMBANDUA MAMLAKANI

WAHADHIRI, WAFANYAKAZI WA MOI WAENDELEZA MGOMO

SENETA MAANZO; WABUNGE WALIKOSA KUPEWA PESA NA GACHAGUA WAKAAMUA KUMBANDUA MAMLAKANI

WAKENYA WANAOTAFUTA AJIRA NJE YA NCHI WATAKIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *