#Local News

DCP KUSAIDIA KUONDOA VIJANA WANAOZUILIWA

Chama cha Dcp kitaongoza mchango wa kukusanya fedha za kuwasaidia vijana wanaozuiliwa maeneo tofauti baada ya kushiriki katika maandamano.

Haya ni kwa mujibu wa kiongozi wa Dcp Rigathi Gachagua akihojiwa huko Boston Marekani na kusema kuwa wataendesha mchango huo kwa kuwashirikishia wasamaria wema.

Ameongeza kuwa mawakili wao pia watashughulikia masuala yote ya kisheria yanayohusu mamia ya vijana wanaozuiliwa baada ya kushindwa kulipia bondi.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *