#Local News

SENETI YAANZISHA MCHAKATO WA KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA MAMLAKANI NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA

Bunge a seneti wameendeleza kikao cha faraga kabla ya kuanza rasmi wa kikao cha kujadili hoja ya kumngatua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua.

Baada ya kikao hicho bunge hilo litaanza kikao cha kusikiliza kesi dhidi ya Gachagua ambapo bunge la kitaifa linatarajiwa kuwasilisha malalamishi yao dhidi ya Gachagua leo hii nah apo kesho Gachagua anatarajiwa k,ujjitetea mbele ya seneti.

Spika wa bunge la seneti Amasn Jaffa Kingi amewahakikishia umma kuwa tathmini za kina za madai yote yaliyoibuliwa zitafanywa kabla ya uamuzi wa mwisho bila mapendeleo yoyote.

Imetayarishwa na Janice Marete

SENETI YAANZISHA MCHAKATO WA KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA MAMLAKANI NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA

RISING STARS WASHINDA SUDAN KUSINI

SENETI YAANZISHA MCHAKATO WA KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA MAMLAKANI NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA

RUTO, GACHAGUA WAHIMIZWA KUPATANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *