WAZAZI WATAKIWA KUUNGA MKONO MGOMO WA KUPPET
Wito umetolewa kwa wazazi kuunga mkono mgomo wa walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari katibu mkuu wa KUPPET tawi la Transnzoia Lusweti Furaha mgomo huo utawafaidi sio tu walimu bali pia kwa wanafunzi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































