#Sports

GAVANA WA MOMBASA APIGA MARUFUKU MUGUKA

Wafanyibiashara wa muguka katiika kaunti ya Mombasa wamekososa vikali hatua ya serikali ya kaunti hiyo kupiga marufuku usafirishaji, usambazaji , uuzaji na utumiaji wa muguka katgika kaunti hiyo.

Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao wamesalia katgika njia panda ikizingatiwa kwamba walikua wanategemea biashara hiyo kuyakimu mahitaji yao ya kila siku.

Kwa upande wake mfanyibiashara wa muguka Anderson Kinyua amepuuzilia mbali madai kwamba Muguka una dhuru afya  akidaik kuwapo kwa njama fiche dhidi ya biashara nhiyo katika kaunti ya Mombasa Nao watumiaji wa bidhaa hiiwakiongozwa na mmoja wao Erick Aseko wameilaumu hatua serikali ya kaunti ya Mombasa wakisema kwamba Muguka hauna madhara yoyote.

Imetayarishwa na: Janice Marete

GAVANA WA MOMBASA APIGA MARUFUKU MUGUKA

REKODI YA TIGIST YAIDHINISHWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *