CHAGUZI NDOGO 4 ZAENDELEA NCHINI
Tume huru ya ucahguzi na mipaka, IEBC, inaendeleza chaguzi ndogo 4 za kumchagua mbunge na wawakilishi wadi 3 katika maeneo mbali mbali ya nchi.
Maeneo hayo ni Isiolo South ambako wakazi wameingia debeni kumchagua mbunge, na katika wadi za West Kabras kaunti ya Kakamega, Muminji za Evurore kaunti ya Embu.
Wadhifa wa ubunge Isiolo south ulitangazwa wazi kufuatia kifo cha mbunge Mohammed Tubi, nazo za uwakilishi wadi zikijiri baada ya wawakilishi wadi kujiuzulu kugombea ubunge kwenye chaguzi ndogo mwishoni mwa mwaka jana.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































