IDADI YA WATU WASIOJULIKANA YAKWAMA KWEYNYE VIFUSI KIAMAIKO

Idadi ya watu isyojulikana wakiwemo watoto imekwama katika vifusi vya jengo ambalo limeporomoka katika mtaa wa Kiamaiko Jijini Nairobi.
Kwa mujibu wa walioshuhudia tukio hilo, Zaidi ya watu 10 wamekuwa wakisaka vyuma vikuu kuu kwenye jengo ambalo lilikuwa limeratibiwa kubomolewa kabla ya jengo hilo kuporomoka ghafla na kuwafunika.
Kwa sasa shughuli za uokoaji zinaendelea, ingawa hadi tukienda hewani idara husika katika serikali kuu na ile ya kaunti ya Nairobi hazikuwa zimetoa ripoti rasmi.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































