#uncategorized

MAAFISA 200 WA USALAMA WANATARAJIWA KUANZA SAFARI YA HAITI

Kundi la kwanza la maafisa wanaotarajiwa kujiunga na kikosi cha kimataifa cha usalama nchini Haiti kinatarajiwa kuondoka nchini kufikia mwisho wa wiki hii.

Katika taarifa kwa vyombo vya Habari wizara ya maswala ya usalama na maswala ya ndani kundi la kwanza litajumuisha maafisa 200 miongoni mwa maafisa 1000 ambao ni idadi iliyoidhinishwa na bunge kwa ajili ya oparisheni hiyo.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *