EKURU: HUENDA GACHAGUA AKATEMWA 2027

Huenda rais william Ruto akamteua mtu mwingine kuwa naibu wake katika uchaguzi mkuu ujao wa 2027 , hay ani kwa mujibu wa kiongozi wa chama cha Third way Alliance Ekuru Aukot.
Aukot amesema kuwa mvutano kati ya rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua umesababisha sio tu mgawanyiko katika chama tawala cha ODM bali pia umefanya juhudi za Gachagua kuunganisha eneo la mlima kenya kuangulia patupu.
Imetayarishwa na Janice Marete